November 21, 2016


Baada ya mechi za Ligi Kuu England wikiendi hii, mshambuliaji wa Sunderland, Jermain Defoe ameingia kwenye kundi la washambuliaji waliofunga kuanzia mabao 150.

Defoe amefikisha mabao 150 sawa na Michael Owen huku Alan Shearer akiendelea kuingoza listi hiyo.

- Shearer 260
- Rooney 194
- Cole 187
- Lampard 177
- Henry 175
- Fowler 163

- Owen 150

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV