November 21, 2016


Cristiano Ronaldo ameonyesha kweli ni mshambuliaji hatari na kiboko kati ya waliowahi kuichezea Real Madrid.

Tokea ametua Madrid takwimu zinaonyesha hivi:

Mechi 361 
Mabao 374 
hat-tricks 39
Makombe 8

Ballon d'Ors 2

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV