Timu ya Simba imepoteza mchezo wake
dhidi ya Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya kwa mabao 2-1. Pichani ni matukio
ya mchezo huo wa Ligi Kuu Bara ulivyochezwa, jana Jumatano.
Viongozi na wadau wa Simba wakiwa jukwaani wakishuhudia mambo yalivyokuwa magumu kwa timu yao. |
Kichuya wa Simba (kushoto) akijaribu kumtoka beki wa Prisons. |
Simba wakipongezana baada ya Manyate kufunga bao. |
Straika wa Simba, Mavugo akipiga shuti. |
Mashabiki wa Simba wakiwa hawaamini kilichotokea uwanjani. |
0 COMMENTS:
Post a Comment