November 26, 2016


Mwanamuziki nyota mwenye asili ya Canada, Justine Bieber, alitembelea katika mazoezi ya kikosi cha FC Barcelona ambayo hufanyika kwenye Viwanja vya La Masia.

Uwanja wa La Masia, uko nje kidogo ya jiji la Barcelona ambayo nyota wa kikosi hicho hufanya mazoezi.


Bieber alipata nafasi ya kufanya mazoezi kidogo na nyota wa Barcelona wakiwemo wale watatu Neymar, Luis Suarez na Lionel Messi maarufu kama MSN.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV