November 20, 2016


Mamia ya watu maarufu nchini England wanahofiwa wataingia kwenye wakati mgumu hats kufilisika baada ya ‘TRA’ ya Uingereza kuamua walipe kodi baada ya kugundua kulikuwa na ukwepaji mkubwa katika mambo mengi ya uwekezaji katika soka, hats filamu.

Kocha wa zamani wa Manchester United, Alex Ferguson na yule wa zamani wa timu ya taiga ya England, Sven Goran Eriksson wanaelezwa kuwa kwenye listi ya watu 780 iliyotolewa na Bwana Kodi.

Kwamba imepitiwa zaidi ya makampuni 39 ya wawekezaji yalihusika na ukwepaji huo wa kodi ndani ya England na Ferguson anakuwa mwekezaji kutoka Scotland, Eriksson ni raia wa Sweden.

Inaelezwa ukwepaji huo wa kodi umefikia hadi pauni billion 2.2 na inawezekana wake catalpa hadj mara 10 ya mile walichotakiwa kulipa mwanzo, hali inayoonyesha wake katika hatari ya kufilisika.

Tayari kuna ambao zoezi hilo limeanza kuwakumba na wako ambao tayari wako matumbo joto.


Serikali za nchi za Ulaya, huwa hazitaki mchezo kuhusiana na suala la kodi na hasa kwa wale wakwepaji.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV