Baada ya kuchapwa mabao 4-0 katika yake ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Barcelona, Man City leo imefanikiwa kulipa kisasi kwa kuwachapa wageni wake Barcelona kwa mabao 3-1.
Licha ya Barcelona kutangulia kwa bao safi la Lionel Messi, Man City ilianza kusawazisha kupitia Gundogan kabla ya Kelvi De Bruyne kupachika la pili dakika ya 51 na Gundogan akamalizia kazi katika dakika ya 74.
Ushindi huo umeamsha matumaini ya man City chini ya Pep Guardiola ambayo imefikisha pointi 7 katika kundi lao na Barcelona pamoja na kipigo wamebaki kileleni wakiwa na pointi 9.
MANCHESTER CITY: Caballero; Zabaleta, Stones, Otamendi, Kolarov; Fernandinho (Fernando 60), Gundogan; Silva, Sterling (Navas 71), De Bruyne (Nolito 89); Aguero.
Subs not used: Kompany, Clichy, Gunn, Iheanacho.
Booked: Kolarov, Sterling.
Scorers: Gundogan 39, 74, De Bruyne 51.
BARCELONA: Ter Stegen; Digne, Mascherano, Umtiti, Roberto; Rakitic (Turan 61), Sergio, Gomes (Rafinha 76); Neymar, L Suarez, Messi.
Subs not used: D Suarez, Cillessen, Alcacer, Garcia, Borges, Marlon.
Booked: Rakitic, Sergio, Neymar.
Scorer: Messi 21.
Referee: Viktor Kassai (Hungary).
0 COMMENTS:
Post a Comment