November 2, 2016

 


Nyota wa Man City, Samir Nasri ameamua kuliuza jumbo lake la kifahari la mjini Ceshire, England kwa kitita cha pauni million 5.7.

Nasri ambaye sasa anakipiga kwa mkopo Sevilla ya Hispania ameamua kuliuza jumbo hilo lenye ukumbi wa disco, bwawa kubwa la kuogelea, stoo kubwa ya mvinyo na kadhalika.


Uamuzi huo wa Nasri mwenye umri wa miaka 29 ni dalili ameamua kubaki Hispania na huenda akaishaiwishi Man City imuuze kabisa.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV