November 6, 2016


Azam FC imelamba kipigo cha nne cha Ligi Kuu Bara baada ya kuchapwa mabao 2-1 na Mbao FC.

Mbao FC imeizamisha Azam FC katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijni Mwanza, leo.

Pamoja na Mbao kuibuka na ushindi huo, Ndanda FC nayo imeivurumisha Stand United kwa mabao 2-1 katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara.


Kipigo hicho kinakuwa ni cha pili kwa Stand United ambayo mwanzo ilianza kufungwa na Simba. 

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV