December 29, 2016

IDDI CHECHE AKIMSIMAMIA MAZOEZI MMOJA WA VIJANA WA TIMU YA AZAM FC

Azam FC imekiri kuanza mazungumzo na Kocha Kali Ongala ili ajiunge na kuanza kufiundisha.


Azam FC imemtimua kocha wake wake, Zeben Hernandez raia wa Hispania pamoja na jopo zima alilokuwa akiliongoza.

Lakini kwa sasa kikosi chao kitanolewa na Iddi Cheche na Iddi Aboubakary wakati mazungumzo na Majimaji kumng'oa Kali yakiendelea.

Cheche ni mmoja wa makocha wa timu ya vijana ya Azam FC.

Pamoja na hivyo, uongozi wa Yanga umekiri kwamba unasaka kutoka nje.

Taarifa zimeeleza, Azam FC imefanya mazungumzo na Lamine N'Diaye aliyewahi kuifundisha TP Mazembe na timu ya taifa ya Senegal.


2 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic