Dereva nyota wa mbio za F1 au Langalanga, Michael Schumacher amepata nafuu baada ya kukaa kitandani kwa miaka mitatu akiwa mgonjwa.
Taarifa zimeeleza matibabu pekee ya Schumacher kwa muda wa miaka mitatu, yamegharimu kitita cha pauni milioni 14 (zaidi ya Sh bilioni 3.6).
Schumacher alianguka akiteleza kwenye barafu nchini Uswiss wakati wa kipindi cha baridi.
Raia huyo wa Ujerumani, alitawala kwa muda mwingi katika mashindano hayo ya mbio za magari ya F1.








0 COMMENTS:
Post a Comment