February 24, 2021




 UONGOZI wa Simba umesema kuwa jambo ambalo amefanya Senzo Mbatha la kukutana na Kocha Mkuu wa Al Ahly, Pitso Mosimane sio la kiungwana na hakupaswa kufanya hivyo.

Usiku wa Februari 22, picha za Mbatha ambaye alikuwa Mtendaji Mkuu ndani ya Simba,(CEO) kabla ya kubwaga manyanga na sasa yupo ndani ya Yanga akiwa ni Mshauri Mkuu wa Masuala ya Mabadiliko  zilisambaa akiwa na Mosimane siku moja kabla ya kuvaana na Simba kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya Makundi.

Mchezo huo ambao ulichezwa jana, Februari 23, Simba ilishinda bao 1-0 kupitia kwa Luis Miquissone ambaye aliitendea haki pasi ya Clatous Chama.

Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara akizungumza na +255Global Radio amesema kuwa kwa mtu muungwana hakupaswa kufanya hivyo kwa kuwa Simba inapambana kwa ajili ya taifa la Tanzania.

"Naskia watu wanasema kwamba alikuwa amekwenda kukutana na Msauzi mwenzake (kwa kuwa Senzo na Misomane ni raia wa Afrika Kusini), ila ninaamini kwamba sio sawa.

"Inaelezwa alianza kusema kwamba alitaka kuonana naye siku ya Ijumaa ila akakwama na kuamua kuchagua Jumatatu, hapana kwa nini iwe siku moja kabla ya mechi?

"Ingekuwa yupo ndani ya Simba angeweza kufanya hivyo? Sisi huwa tunaonana nao kwa mujibu wa taratibu kwa kuwa kuna muda wa kufanya vikao vile kabla ya mechi hapo tunaongea na kubadilishana mawazo kwa kuwa mpira sio vita.

"Kikubwa ninawaambia mashabiki wawe na subira unapozungumza kuhusu Simba unazungumzia taasisi kubwa yeye watu wengi, sasa tunafanya vitu vyetu kwa umakini mkubwa," amesema.

16 COMMENTS:

  1. Msitufanye wengine tutukane ndani ya nafsi,HV jamani mpira mnaosema umekuwa ni wa kisasa ndiyo huu,mpira popote Duniani unachezwa hadharani na Timu zinaonana kwamba Man na Barcelona siku ya kukutana unatafuta bikira?kila siku wanaonekana,what so special na Hii taarifa .Huyu jamaa angekutwa na refa hapo tungekuwa na wasiwasi Lakini Kocha naye Tena ni Ndugu yake Hii Inatia kinyaa kukaaa inaongelewaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Utopolo mnachekesha hivi nyinyi mnawaona viongozi wa Simba wajinga sana huyo Senzo mnayemtegemea nyinyi atawaletea mabadiliko ni mshenzi na Hana weledi wowote na hao mmekula hasara angekuwa muungwana asingeacha kazi Twitter na kushindwa kukabidhi ofisi na nyaraka muhimu za klabu na kushindwa kuaga viongozi na uondoke kwa amani,alafu baada ya masaa machache kuresign Simba kupitia Twitter unaibukia Yanga alafu unataka Simba wasiwe na wasi wasi na huyo mtu Tena akiwa na kesi polisi ya kuhujumu Simba,Kama mnafikiri viongozi wa Simba ni wajinga Basi mi nafikiri nyie wajinga Mara Mia sababu hakuna mtu asiyejua fitina za Simba na Yanga na upinzani ulipofikia Hadi Sasa Kama watu wanaweza kwenda kupokea wageni,viongozi wao kuwatafutia mpaka viwanja vya mazoezi kwa Nini Simba wasiwe na wasi wasi kulikuwa Kuna ulazima gani wa Senzo kuonana na Pitso siku 1 kabla ya mechi na simba, mnaojifanya mnaelimisha kumbe mnaleta Uyanga wenu hapa kwendeni zenu huko

      Delete
  2. Suala la Senzo lisitutoe Simba nje ya mstari kila mtu atashinda mechi zake tukilifatilia tutampa sifa asizostahili

    ReplyDelete
  3. Vitu hivi ndio vinaharibu mpira wa Bongo, tunaonekana hatuja elemika,yaani mtu asionane na ndugu yake kwasababu waTz watasema, tena mnampangia mpaka siku aisee Tz kuna watu wa Ajabu sana, alafu mnasema next level, sijui mnamaanisha nn?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na kiongozi wenu aliyekutea Azam Complex akiwafanyia booking ya uwanja wa mazoezi Al Ahly,vp kuhusu washabiki wenu kwenda kuwapokea wageni,mtu ana kesi ya kuhujumu timu ya Simba na alikuwa C.E.O wa Simba akaacha kazi kupitia Twitter,hakukabidhi ofisi alafu muda mfupi baada ya kuacha kazi anaenda Yanga,mtu huyo huyo siku moja kabla ya mechi ya Simba na Ahly anaonekana akiwa na kocha wa Al Ahly faragha wakiwa wanateta alafu picha zenyewe zimerushwa na mtu wa Simba aliyefanya kazi kwa Siri alafu linatokea suala Kama Hilo Simba wanaongea alafu mnawaona wajinga Sasa tunawaambia wajinga ni nyinyi msiojua siasa za Mpira wa Simba na yanga

      Delete
  4. Manara Wacha kutafuta publicity Zaidi,wewe unachokifanya kwa wanasimba ni kuongea maneno ya ovyo yasiyokuwa ya kimpira ili uweze kuwafanya wanasimba waone wewe mtu muhimu sana kwao Na kwa ukweli hicho umefanikiwa sana kuwafanya wana Simba wakuone mtu muhimu uendelee Kula keki yako vizuri sana hapo Simba,huna taaluma yoyote ya kuwa msemaji wanclub yetu Ila ni rizki Na binadamu tumechoka Na nyimbo zako za Yanga Kula siku ukiwa kwenye mambo muhimu ya club yetu utatia neno kuhisu Yanga,Mimi ninaishi ukaya takribani miaka 22 nimeishi nchi tatu tofauti za ukaya kiujumla Na ni mwanamichezo niliyesomea Jabari za michezo lakini sijaona msemaji was Chelsea akatangaza Jabari za Chelsea Na kutia Jabari za Arsenal au man united akaongelea Jabari za man city,hii naiona kwako Tu,Mimi kwa umri Nina miaka 52 hapo Zamani niliiudhuria mechi nyingi sana za Simba wakati Huo wewe pia uja zaliwa baba yako alikuwa rafiki mkubwa sana was King kibadenninayo picha ya baba yako Na kibaden wamekaa juu ya ukuta wakati was usiku kama unabisha muulize,nishaishuhudia Simba ikicheza Na raca rovers,union doula,mufulira Wanderers,wakati huo Kuna Haidar abeid,Hamis Askari,Adam saabu ,Omar mahadh bin Jabir Na wengi mpaka mgogoro wa Simba ikatokea kugawana Na kuanzishwa red star Na akina Mzee bamchawi Mimi nilikuwa ninaishi mtaa wa likoma Na ndanda,mgogoro mwingine ulikuja kutokea kukawa Na timu mbili moja Kitomondo temeke Na nyingine klabuni,Susi tulikuwa tunashinda hapo club sasa ninajuwa mambo mengi sana ya Simba mpaka siku ya kifo cha hayati Hussein tindwa kilichotokea uwanjani tukalia sana hapo clubkulikuwa Na mtu mmoja anaekaa hapo club anaitwa oluochu sijui yupo wapi huyo mtu kwa sasa nina mambo mengi sana ya Simba sasa kwa ushauri wangu ongelea mambo ya club yetu achana Na mambo ya Yanga,Uli hikfanya wewe ni kuwin majority Na umeshawin kwa watu wanaopenda kusikiliza maneno yako ya ovyo ovyo tueleze havari za club yetu Nini tunafanya mikakati yetu tunataja twende wapi tunataja tubireshe wapi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kukaa ulaya sio kigezo Cha kuwa unaweza kupambana Mambo unajifanya unaelimisha kumbe unaleta Uyanga wako hapa mtu mwenye kesi polisi ya kuhujumu timu ya Simba, na mtu ambaye alikuwa C.E.O wa Simba anaonekana na kocha wa timu pinzani wakiwa faragha wanateta usiku wa kuamkia mechi,kulikuwa Kuna shida gani angeenda kumuona baada ya mechi eti unampangia siku ya kukutana nae na hao viongozi wenu wslioenda kuwafanyia booking Al Ahly,alafu eti unajifanya Simba eti tueleze mikakati ya klabu yetu aliyecomplain kuhusu suala la Senzo ni Manara peke yake,mbona Magori kaongea kuhusu hiyo ishu mbona hatuwasikii mkimsema shida yenu kubwa kwamba mlio wengi mna chuki binafsi dhidi ya Manara alafu unajificha kwenye kivuli Cha kujifanya wewe ni shabiki wa Simba Shame on you

      Delete
  5. We don't need it Manara,we need you to tell us bout progress, achievement our goals, expectations,

    ReplyDelete
  6. I'm a Simba fan for ages now,wwakati wa akina Allo mwitu,Daud Salim bruce lee,kajole machela,dilunga sungura,tall Nico njohole , George kulagwa best ,kuja abass,seleman mateleka,kipa Omar saleh umbopa,mambosasa, Mackenzie Ramadhan,Issa kihange,muchacho,Saad ally,aluu ally,filbert rubibira,athuman Juma,masement jumanne,thuwein ally, innocent haule,kasanga Bwalya,twaha Noriega,Lenny,gagarino,mogela Lila thobias nkoma,rp Raphael Paul,Ali machela,Hassan Afif,malota,nteze,Masha,masatu,Na wengine wengi was nyuma aabdalla Hussein kama take Omar Hussein , Abdallah mwinyimkuu,

    ReplyDelete
  7. If you wanna take it mdogo wangu Manara if u don't wanna just leave it,Mimi nipo Manchester ndipo makazi yangu Inshallah nikija tz nirakutafuta tubadilishane opinions ili tuipeleke mvela Zaidi club yetu

    ReplyDelete
  8. We can not proceed to the high level if we do not eradicate this kind of bullshit, success in football does not come very easy it's like a war so if we let this bullshit to continue it will destroy us (SIMBA) in the future so Haji Manara was right cause all those things that you mentioned including progress,achievement,goals and expectation several times Haji Manara addressed about those issue and for those who hate this man in the shadow of pretending themselves that they are football lover shame on you

    ReplyDelete
  9. daaah kweli kuna wana simba wengine mambumbumbu sana wakiongozwa na huyo manara wao!!!!!!....yaani mtu ashindwe kusalimiana na ndugu yake eti kisa ni kocha wa timu pinzani na simba!!!!!!!!.....hebu tuondoleeni upumbavu wenu.....mnawachafua hata mashabiki wenzenu wa simba ambao hawana ushabiki maandazi kama nyie.

    ReplyDelete
  10. Na Kuna washabiki wa Yanga wengine ni matahira kweli Yani viongozi wao wanahangaika kuwatafutia Al Ahly uwanja wa mazoezi badala ya kutengenezs timu alafu baadae wanataka kususa alafu washabiki wao wanasapoti Sasa haya so ni matahira yamezoea kuongopewa ongopewa

    ReplyDelete
  11. Nyie yanga wajinga sana .hii ngoma hamtaiweza.

    ReplyDelete
  12. Senzo ni shoga tu alienda kupesa mhogo siku ile

    ReplyDelete
  13. mpira hauko hivyo watani zangu mbona munataka kunitia aibu sasa mbona mulishinda huyo Hajji ni msemaji tu na musimfuatishe kila anachokisema mengine muwe munayaacha tu na muangalie uhalisia wa mchezo wa mpira'Senzo na Pitso ni watu wa taifa moja na ni wafuasi wa mpira wa miguu' kwani wewe mtani hauoni kuwa hiyo ni faraja na heshima kwako kuwakutanisha watu wa taifa moja ndani ya nchi yako kisha watu hao wakiwa timu tofauti mtani usimsiklize sana Hajji kumbuka kuongea ndio kazi inayomuweka Simba mwisho wa siku nikupe hongera mtani kwa ushindi mzuri wa jana' naitwa YUNUS au baba AZAD,

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic