MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Simba uliotarajiwa kuchezwa Oktoba 20 sasa unatarajiwa kuchezwa Oktoba 27.
Taarifa iliyotolewa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, (TPLB) imeeleza kuwa sababu kubwa ni changamoto ya usafiri kwa Simba ambayo inashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika.
Taarifa hiyo imeeleza namna hii:-
Mmeanza, kwani hiyo barua ya maombi mbona haikuchapishwa?
ReplyDeletekalipeni kwanza faini ya CAF! Nanyie hili mngekuwa mnalifaidi kwani chance ya kucheza kimataifa mliiokota kama embe dodo chini ya muarubaini.Mliichezea nkaishia kushambulia timu pinzani..Eti mlifanyiwa figisu kumbe nyie ndio malkia wa figisu..Kama mlivyofanya ishue ya Kibu Denis..hili timu aibu kweli
DeleteWanaume kazini. Na huo ndio ukubwa wa Simba. Mwendo mdundo hadi fainali kudadadeki
ReplyDeleteSogezeni hata huo mchezo wa kimataifa.
ReplyDeleteKwani Simba si taijiri, inashindwa kukodi ndege au kubook ndege mapema? Hakuna kitu hapo
ReplyDeleteUsanihi tu hakuna Mpira na watasogeza Sana.
ReplyDeleteMechi ya marudiano Ni tarehe 24 Oct hiyo wameanza ule mchezo wa mwaka Jana ,Mimi nadhani Hawa Waswahili wana rahana ya Mama zao,CSE kwanini wakose ndege ya kurudi wapate ya kwenda? Hapa Wananchi tujue hapa mchezo wa yule refa aliye kataa goli la Mayele alitumwa,hapa Bodi ya Ligi na TFF na marefa Wana mchezo mmoja.
ReplyDeleteLet us see time will tell.
ReplyDelete