December 21, 2016



Mshambuliaji wa Real Madrid, James Rodriguez sasa anaonekana amechoka kusbiri nafasi ya kucheza katika kikosi cha Real Madrid.

Anataka kuondoka na kujiunga na vinara wa Premier League, Chelsea.

Kocha Zinedine Zidane amemuambia anaweza kwenda kujaribu maisha kwingine.

Pamoja na ruhusa hiyo, awali ilionekana lama James amekuwa havutiwi kuondoka Valdebebas na kujiunga na timu nyingine.


Tokea amejiunga na Madrid akitokea Monaco, James amekosa mamba ya kudumu katika kikosi cha Zidane.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic