Mechi ya fainali ya Kombe la Dunia kati ya Real Madrid dhidi ya Kashima imelazimika kwenda dakika za nyongeza baada ya kwisha kwa sare ya bao 2-2.
Ingawa ilionekana ni kama mechi laini kwa Madrid, mwisho Kashima wameonyesha si wa mchezomchezo kwa kupata bao mbili safiii.
Ronaldo ndiye aliikoa Madrid kwa kufunga kwa mkwaju wa penalti bao katika dakika ya 60 hiyo ilikuwa ni baada ya Kashima kusawazisha katika dakika ya 44 kupitia Gaku Shibasaki ambaye aliongeza la pili dakika ya 52.

0 COMMENTS:
Post a Comment