KIJIKO WA ZAMANI YANGA NAYE ATUA MBEYA CITY KUONGEZA NGUVU Mbeya City imeonyesha imepania kujiimarisha vilivyo baada ya kumuongeza kiungo wa zamani wa Yanga, Juma Seif ‘Kijiko’. Kijiko amejiunga na Mbeya City baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea.
0 COMMENTS:
Post a Comment