MPIRA UMEKWISHAAAA
-Kazimoto anaingia vizuri hapa, hatariii anapiga shuti kali hapa lakini Juhudi anadaka kwa ustadi wa juu
DAKIKA 2 ZA NYONGEZA
Dk 90 Ruvu ndiyo wanamiliki mpira zaidi, lakini zaidi kwenye eneo la kwao
DK 88, Kazimoto anageuka na kuachia shuti kali hapa
Dk 86, Simba wanagongenaa vizuri hapa, hatari lakini Ruvu wanaondosha hatari langoni mwao
Dk 85, mechi imekuwa na presha kubwa, kila upande unaonekana kupoteza mpira kila mara. Hakuna shambulizi kali lakini kila upande difensi inatakiwa kuwa makini
SUB Dk 80, Ndemla anaingia kuchukua nafasi ya Bukungu
Dk 77, Luizio anaingia, pasi nzuri kwa Kazimoto anaachia mkwaju, kipa Bidii anaokoa kwenye engo ya lango lake
SUB Dk 75, Ruvu wanamtoa Jabir Aziz anaingia Shabani Msala
Dk 70 Muzamiru anavuta mpira mara mbili, anaachia shuti kali hapa, goal kick
SUB Dk 68, Kichuya anakwenda nje na nafasi yake inachukuliwa na Mwinyi kazimoto
KADI Dk 66, Bukungu analambwa kadi ya njano kwa kupoteza muda
Dk 66, mchezo unaonekana kuwa na kasi na presha ingawa hakuna mashambulizi makali.
Dk 62, Simba wanafanya shambulizi kali, krosi nzuri ya Kichuya mpira unamkuta Luizio, anageuka na kupiga shuti lakini ni shuti nyanya kabisa
Dk 59, shambulizi jingine kali kwa Ruvu, wanaokoa na kuwa kona, inchongwa, Ruvu wanaikoa tena
SUB DK 57 Chande Magoja anaingia upande wa JKT kuchukua nafasi ya Ismail Mgunda
Dk 54 Luizio anaingia na kuachia mkwaju kali, unatoka juuu, lakini mwamuzi anasema offside
SUB Dk 52, Simba inafanya mabadiliko ya kwanza kwa kumtoa Mo Ibrahim na kumuingiza Juma Luizio
Dk 49, inafanya shambulizi kali hapa, Bukungu anaachia shuti kali hapa, mpira unamkuta Kotei anaingia vizuri anaachia shuti kali, goal kick
DK 46, mpira unaanza kwa kasi, bado upo katikati hakuna timu iliyofika kwenye lango la mwenzake
MAPUMZIKO
GOOOOOOOOO, Mpira wa krosi safi, Mo Ibrahim anaunganisha kwa shuti kali kabisa hapa
-Kona safi inachongwa hapa, Banda anajitishwa vizuri hapa. Goal kick
-Simba wanaingia vizuri kabisa, Zimbwe anapiga krosi lakini Makwaya anaokoa, konaaa
DAKIKA 3 ZA NYONGEZA
Dk 45 sasa, mpira mwingi unachezwa katikati zaidi
Dk 43, nafasi nyingine kwa Simba, MZamiru anauwahi mpira ukizagaa anaachia shuti kali lakini unapita juuuu
KADI Dk 41, kipa Bidii Hussuein analambwa kadi ya njano kwa kupoteza muda
Dk 40, Simba wanapoteza nafasi nyingine ya wazi, Pastory anashindwa kulenga
KADI Dk 38, Jabir Aziz Stima analambwa kadi ya njano kwa kumrushia daruga Athanas
Dk 36, mkwaju wa adhabu wa Abdi Banda unapigwa na kupaa juu ya lango
DK 32, Zimbwe anaingia vizuri lakini JKT wanakuwa wepesi kuokoa
Dk 29, Shooting wanafanya shambulizi kali hapa, kona. Hii ni kona ya kwanza ya Ruvu leo
Dk 26, Mo Ibarahim anaachia mkwaju mkali lakini Juhudi anadaka kwa ustadi mkubwa hapa
Dk 20, Ruvu wanaonekana kuwa na kasi zaidi na kuanza ksuhambulia kwa kasi zaidi
DK 14, krosi safi, mpira unapigwa na kugonga mwamba. Lakini sasa kipa wa Ruvu yuko chini akitibiwa
Dk 13, Mo Ibra anaingia vizuri hapa ndani ya 18, Ruvu wanaokoa na kuwa konaaaaa
Dk 11, mpira umesimama hapa Kisiga akiwa anatibiwa hapa
Dk 9, Simba wanafanya shambulizi la haraka, Mwanjale anapanda akigongeana na wenzake, anatoa krosi safi kwa Pastory, yeye na nyavu anapaishaa buuuuu
Dk 6, Simba wanaendelea kulisakama lango la Ruvu, Mo Ibra anaingia vizuri na kupiga shuti kali, kipa anadaka mpira unamtoka lakini anawahi
Dk 4, krosi nzuri ya Kichuya, Athanas anaunganisha tena, lakini Shooting wanaokoa

Dk 2, krosi safi ya Zimbwe, Athanas anapiga kichwa hapa lakini ni goal kick
Dk 1, Simba wanaanza kwa kasi wakionekana wamepania kupata bao
KIKOSI CHA SIMBA
1. Daniel Agyei
2. Besaka Bukungu
3. Mohammed Hussein
4. Abdi Banda
5. Method Mwanjale
6. Jonas Mkude
7. Shiza Kichuya
8. James Kotei
9. Pastory Athanas
10.Muzamiru Yassin
11. Mohammed Ibrahim

0 COMMENTS:
Post a Comment