NAMNA YANGA ILIVYOINYOOSHA NDANDA FC KWA MABAO 4-0 LEO PALE UHURU Yanga imeitwanga Ndanda FC kwa mabao 4-0 katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, leo. Mechi ilikuwa ngumu lakini Yanga wakitawala kwa kiasi kikubwa. Angalia pichaaaaz.
0 COMMENTS:
Post a Comment