December 27, 2016


Kikosi cha Ndanda FC kimeendelea na mazoezi yake ya mwisho leo kabla ya kuivaa Yanga, kesho.

Ndanda FC wanaonekana wako fiti wakisubiri mechi hiyo ya kesho dhidi ya Yanga pale kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Katika mazoezi hayo, Wachezaji wa Ndandsi walionekana ni wenye morali na walio tayari kwa ajili ya mechi hiyo.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic