PICHAAAAZ; NAMNA YANGA ILIVYOANZA MZUNGUKO WA PILI KWA KUITWANGA JKT KWA MABAO 2-0 PALE UHURU Yanga imeitwanga JKT Ruvu kwa mabao 2-0 katika mechi ya Ligi Kuu Bara mzunguko wa pili. Mshambuliaji Simon Msuva alifunga mabao mawili na moja JKT wakijifunga katika mechi hiyo iliyopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
0 COMMENTS:
Post a Comment