January 14, 2017


Nahodha Pierre-Emerick Aubameyanga ameifungia bao Gabon katika mechi ya ufunguzi wa Afcon.

Aubameyanga alijituma kuunganisha krosi ya Denis Bouanga na kufunga bao safi kabisa kwa wenyeji hao wa Afcon.

Hata hivyo mechi hiyo dhidi ya Guinea Bissau imeisha kwa safe ya bao 1-1 baada ya wageni kusawazisha katika dakika ya 90.

VIKOSI NA WALIVYOCHEZA NA MAKSI ZAO
Gabon: Ovono 6, Appindangoye 6, Ecuele 6, Obiang 6, Palun 7, Tandjigora 6, Lemina 5, Ndong 6, Evouna 7, Aubameyang 6, Bouang 7 Subs: Kanga 6, Angoue N/A, Poko N/A.
Guinea–Bissau: Jonas 7, Dabo 7, Rudinilson 6, Juary 7, Soares 8, Zezinho 7, Santos 7, Nanissio 7, Brito 6, Camara 6, Mario 7. Subs: Mendy 6, Silva 7, Aldair 6.MAKUNDI YALIVYO:
A: Senegal, Equatorial Guinea, Sudan, Sao Tome/Madagascar
B: Cameroon, Morocco, Malawi, Comoros/Mauritius
C: Mali, Gabon, Burundi, Djibouti/South Sudan
D: Algeria, Togo, Benin, The Gambia
E: Nigeria, South Africa, Libya, Seychelles
F: Ghana, Ethiopia, Sierra Leone, Kenya
G: DR Congo, Congo, Zimbabwe, Liberia
H: Ivory Coast, Guinea, Central African Republic, Rwanda
I: Burkina Faso, Angola, Botswana, Mauritania
J: Tunisia, Egypt, Niger, Swaziland
K: Zambia, Mozambique, Guinea-Bissau, Namibia
L: Cape Verde, Uganda, Tanzania, Lesotho


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV