January 26, 2017


 Wachezaji wa kIkosi cha Simba wanaonekana wako tayari kwa ajili ya mechi ya keshokutwa Jumamosi dhidi ya Azam FC.

Mechi hiyo ni mtihani mkubwa kwa Simba kwa kuwa lazima washinde ili waendelee kubaki kileleni.


Kocha Joseph Omog ameendelea kuwaongoza vijana wake kufanya mazoezi kwenye Uwanja wa Boko Veterani nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam kujiandaa na mchezo huo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV