January 26, 2017Azam FC wanajua wana kazi ngumu Jumamosi dhidi ya Simbak, safari hii katika Ligi Kuu Bara.

Mara ya mwisho, waliwafunga Simba kwa bao 1-0 na kubeba Kombe la Mapinduzi. Lakini sasa ni ligi kuu.


Nahodha wa Azam FC, John Bocco amesema wanaendelea na mazoezi kwa kujituma wakijua kazi ni ngumu lakini wanachotaka ni kufanya vema.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV