February 16, 2017


Wakati Arsenal imekuwa ikisifiwa kwa soka safi na la pasi nyingi lakini katika mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Bayern Munich, mambo yalikuwa tofauti kabisa.

Arsenal imepoteza mechi hiyo kwa mabao 5-1 na kama hiyo haitoshi hata pasi ilizopiga ni za chini sana ukilinganisha na Bayern Munich waliokuwa nyumbani.


Wenyeji Bayern walipiga pasi 704 zilizofika huku Arsenal wakipiga 186 pekee zilzofika ikiwa ni chini karibu ya mara tano jambo ambalo linaonyesha kweli walizidiwa kila idara.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV