February 16, 2017


 Mkongwe Aarjen Robben amewaonyesha Arsenal kuwa bado yumo baada ya kufunga moja ya mabao matano waketi Bayern Munich ikiishindilia Arssenal kwa mabao 5-1 katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya 16 Bora.

Robben alifunga bao la kwanza akifungua mtaji wa Bayern katika dakika ya 12 akiwa katika ya msitu wa mabeki wa Arsenal lakini aliuinua mpira huo juu na kumaliza kazi.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV