February 17, 2017Ngaya ya Comoro leo wamefanya mazoezi yao ya mwisho kujiandaa na mechi ya mwisho ya Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya awali dhidi ya Mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga.

Kikosi cha Ngaya wamefanya mazoezi hayo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar kabla ya mechi ya kesho.

Katika mechi ya kwanza, Yanga iliwavurumisha Ngaya kwa mabao 5-1.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV