Mario Balotelli ndiyo huyo, kweli haishi vituko baada ya kutwanga kadi nyekundu ya tatu hata kabla hajamaliza msimu nchini Ufaransa.
Balotelli alilambwa kadi hiyo baada ya timu yake ya Nice kupata ushindi wa bao 1-0 katika League 1 dhidi ya kibonde Loriente.
Ilikuwa kadi nyekundu ya moja kwa moja katika dakika ya 68 baada ya kufanya madhambi kwa makusudi.
0 COMMENTS:
Post a Comment