February 19, 2017Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp raia wa Ujerumani ametimiza siku 500 akiwa mwajiliwa wa timu hiyo kongwe ya England. Kuna mambo mengi mazuri amefanya, yako aliyokosea kama mwanadamu. Tunakupa nafasi ya kutoa maoni yako unapoamini alipatia mpongeze, alipokosea, mpe mawazo.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV