February 21, 2017


Kipa wa akiba wa Sutton, Wayne Shaw amekuwa kivutio baada ya kula pizza akiwa amekaa kwenye benchi.

Shaw ambaye ni bonge la mtu kwelikweli, alikuwa akipa pizza au pie wakati timu yake ikipambana na Arsenal katika Kombe la FA.

Sutton ilitolewa katika michuano hiyo kwa kufungwa kwa mabao 2-0 lakini Shaw akawa gumzo kutokana na umbo lake lakini alikuwa akila wakati mechi inaendelea.1 COMMENTS:

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV