February 7, 2017

Cameroon wamepokelewa kwao kwa shangwe kuu ikiwa ni baada ya kutwaa ubingwa wa Afrika katika michuano ya Afcon iliyofanyika nchini Gabon.

Mashujaa hao wamewasili kwao baada ya kubeba ubingwa ambao mara ya mwisho “ulikanyaga” Cameroon mwaka 2002.

Waliitwanga Misri kwa mabao 2-1 katika fainali na kufanikiwa kubeba ubingwa huo kwa mara ya tano.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV