February 7, 2017Mshambuliaji wa zamani wa Liverpool na timu ya taifa ya Ufaransa, Djibril Cisse ametangaza kucheza soka.

Cisse mwenye umri wa miaka 35, sasa ameamua kufanya kazi ya muendesha disco, yaani DJ.

Akiwa England pia aliwahi kuichezea Sunderland na QPR. Lakini sasa ameamua kuwa DJ pia ana mavazi yake yajulikanayo kama 'Mr Lenoir'.

TAKWIMU WAKATI AKICHEZA SOKA
1998–2004: Auxerre 
2004–2007: Liverpool
2006–2007: Marseille (loan)
2007–2009: Marseille
2008–2009: Sunderland (loan)
2009–2011: Panathinaikos
2011–2012: Lazio 
2012–2013: Queens Park Rangers
2013: Al-Gharafa (loan)
2013: Kuban Krasnodar
2014–2015: Bastia
2015: Saint-Pierroise


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV