Namna wachezaji wa mabingwa watetezi wa England wanaochechemea katika Ligi Kuu England, Leicester City walivyokwea pipa kwenda Sevilla nchini Hispania.
Leicester City wana kibarua kigumu cha Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Sevilla kesho Jumatano.
RATIBA YA MECHI ZIFUATAZO
Premier League unless stated
Wednesday Sevilla (A)
Champions League last-16, first leg
February 27 Liverpool (H)
March 4 Hull City (H)
March 14 Sevilla (H)
Champions League last-16, second leg
March 18 West Ham United (A)
April 1 Stoke City (H)
0 COMMENTS:
Post a Comment