Nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ametupia picha mtandaoni akionyesha gari lake jipya aina ya Bugatti Veyron.
Picha za Ronaldo akiwa na gari hilo la kifahari zimezua gumzo kubwa mitandaoni kwamba ni mtu anayependa majivuno.
Lakini wako ambao wamekuwa wakimuunga mkono kwamba ana haki ya kusherekea maisha ambayo anauafanyia kazi kwa juhudi.
0 COMMENTS:
Post a Comment