February 7, 2017


Kiungo nyota wa zamani wa Chelsea, Oscar ameanza kuonyesha cheche katika barani Asia baada ya kufunga bao lake la kwanza la Ligi ya Mabingwa Asia.

Akiwa anaichezea timu yake mpya ya Shanghai SIPG aliisadia kuitwanga Sukhothai kwa mabao 3-0 huku yeye akifunga moja.

Oscar raia wa Brazil alitua China kwa kitita cha pauni milioni 52 na kuandika rekodi nyingine ya usajili.

Chini ya Kocha wake Andre Villas-Boas, Oscar ameanza kuonyesha vitu vyake

z

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV