February 18, 2017
Zesco imeifunga APR kwa bao 1-0 nyumbani kwao Kigali na kufanikiwa kusonga mbele kutoka katika hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Bao pekee la mchezo huo lilifungwa na Taonga Bwembya na kuivusha Zanaco moja kwa moja.

Ushindi wa bao 1-0 unaipa Zesco ushindi wa jumla wa mabao 2-1 baada ya sare ya 1-1 katika mechi ya awali.

Sasa Zanaco inakutana na Yanga ambayo imesonga mbele kwa kuitoa Ngaya ya Comoro.

Yanga imesonga mbele katika Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuiondoa Ngaya ya Comoro kwa jumla ya mabao 6-2.


Yanga imefikisha idadi hiyo baada ya sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo. Bao pekee la Yanga likifungwa na Haji Mwinyi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV