March 24, 2017


Paulinho aliyeonekana ameshindwa kabisa akiichezea Tottenham ya England, amefunga mabao matatu au hat trick na kuisaidia Brazil kuitwanga Uruguay mabao 4-1 kwao.

Ushindi huo umeifanya Brazil kufikisha pointi 30 ikiwa kinara wa kundi na kujisogeza kabisa katika nafasi ya kufuzu kucheza Kombe la Dunia.


Bao moja la Brazil kukamilisha manne lilifungwa na nahodha Neymar na upande wa Uruguay alifunga Endnson Cavani.


Uruguay: Silva; Pereira, Godin, Coates, Silva; Sanchez (Hernandez 77), Rodriguez, Vecino, Arevalo; Rolan (Stuani 58), Cavani 
Subs not used: Gimenez, Conde, De Arrascaeta, Alvaro Gonzalez, Laxalt, Fucile, Urretaviscaya, Campana, Corujo, Lodeiro
Goal: Cavani 9
Bookings: Pereira, Godin, Coates 


Brazil: Alisson; Alves, Marquinhos, Marcelo, Miranda; Casemiro; Coutinho (Willian 86), Augusto (Fernandinho 81), Paulinho, Neymar; Firmino (Souza 89)
Subs not used: Fagner, Dudu, Diego, Filipe Luis, Ederson Moraes, Gil, Thiago Silva, Giuliano, Weverton 
Goals: Paulinho 19, 52, 90, Neymar 74
Bookings: Casemiro, Marcelo, Alves
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV