March 7, 2017

 Mashabiki wa Simba wameonyesha wazi kukerwa na kauli ya Kanjunju John, shabiki wa Yanga ambaye amepata umaarufu baada ya kuangua kilio hadharani.

Kanjunju alisema haipendi Simba, anaichukia hali inayomfanya hadi aichukie rangi nyekundu.

Baada ya kauli yake hiyo kuingia mitandaoni, mashabiki wa Simba walianza kumshambulia wakisema hafanani kuwa shabiki wa Simba.

Mashabiki wengé walimzodoa Kanjunju kwamba alikuwa akilia kutafuta mtaji.

Kanjunju aliamua kutoa ufafanuzi huo baada ya kuwa na taarifa kwamba, yeye ni Simba lakini alidanganya kuwa Simba.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic