Wanariadha 557 kutoka sehemu mbalimbali duniani kutoka nchini 59, kesho watakuwa na mchuano mkali katika michuano ya ubingwa wa dunia ya Cross Country maarufu kama IAAF.
Michuano hiyo itafanyika kwenye jiji kubwa zaidi nchini Uganda la Kampala.
Michuano hiyo inayosubiriwa kwa hamu inasubiriwa kwa hamu kubwa na Watanzania watapata bahati kuiona LIVE kupitia ZBC na UTV ndani ya king’amuzi cha za Azam TV pekee.
0 COMMENTS:
Post a Comment