March 18, 2017


Kikosi cha Liverpool kimeongeza mazoezi kabla ya mechi yao dhidi ya Manchester City ambayo itapigwa Jumapili.

Kocha Jurgen Klopp alitaka vijana wake wawe fiti zaidi na mazoezi yalikuwa makali.

Hata hivyo, leo watapumzika baada ya jana kuwa na mazoezi makali. Kesho ndiyo kazi yenyewe wenyewe wakiwa ugenini.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV