March 16, 2017


Pamoja na Bayer Leverkusen kujitutumua na kupata sare ya bila mabao dhidi ya Atletico jijini Madrid, lakini imeishia njiani katika Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Atletico Madrid imesonga mbele kwa ushindi wa jumla wa mabao 4-2 ambao iliupata ugenini.

Katika mechi ya leo, kila timu ilionyesha kiwango cha juu, kosakosa nyingi lakini  hadi mwisho hakukuwa na bao hata moja.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV