March 30, 2017


Wachezaji wa Liverpool wameonekana wanajiamini, wako vizuri na wako tayari kwa ajili ya Merseyside Derby.

Liverpool inaibaa Everton katika Ligi Kuu England, mechi itakayochezwa keshokutwa Jumamosi.

Mechi hiyo maarufu kama Merseyside Derby itapigwa kwenye Uwanja wa Anfield, ni moja kati ya mechi ya watani yenye sifa nyingi na maarufu.

Moja ya sifa za watani hao ni upendo na ujirani wao, pia ni mbili zinazotoka katika jiji la Liverpool zinazopendwa na mashabiki wengi zaidi. 


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV