March 28, 2017Mechi ya kirafiki kati ya Ivory Coast dhidi ya Senegal imevunjika dakika ya 88, jana baada ya mashabiki kuvamia uwanja.

Mechi hiyo iliyokuwa inapigwa kwenye Uwanja wa Charlety jijini Paris.

Mashabiki hao walivamia uwanja na kuanza kuzungumza na kuanza kuzungumza na wachezaji, wengine wakipiga nao picha hali iliyozua mtafaruku kati yao na walinzi wa uwanja.

Senegal walipata bao la mkwaju wa penalti lililofungwa na Sadio Mane na Ivory Coast wakasawazisha kupitia Gohi Bi.

Wilfred Zaha wa Crystal Palace aliichezea Ivory Coast kwa dakika 58, akatolewa na beki wa Man United, Eric Baily alicheza kwa dakika zote 88, hadi tafrani lilipoanza.


IVORY COAST: Gbohouo, Kanon, Bailly, Deli, Bagayoko, Kessie, Die (Sanogo 74), Doukoure, Pepe, Zaha (Assale 58), Sio (Cyriac 58).
SUBS NOT USED:  Kone, Kodjia, Cisse, Traore, Eboue, Comara, Assale, Sangare, Bamba.
BOOKINGS: Deli
GOALS: Cyriac 70

SENEGAL: Diallo, Gassama, Mbodj, Toure (Sane 64), Ciss (N'Doye 64), Gueye (Babacar 46), Saivet,  N'Diaye, Mane, Diedhiou (Nguette 46), Keita.
SUBS NOT USED: Wague, Ndiaye, Mbengue, Kouyate, N'Diaye, M'Bengue.
BOOKINGS: N'Diaye
GOALS: Mane 68
REFEREE: Tony Chapron 
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV