March 8, 2017


 Wakati Yanga ikiitwanga Kiluvya FC kwa mabao 5-1 katika mechi ya Kombe la Shirikisho, shabiki wake Kanjunju John ndiye alikuwa akiongoza sherehe hizo.

Kanjunju ambaye amepata umaarufu baada ya kulia hadharani mara tu baada ya mechi ya Simba dhidi ya Yanga iliyopoteza kwa mabao 2-1, alikuwa akirukaruka juna kwenye Uwanja wa Uhuru akionyesha ni mwenye furaha kuu.

Kanjunju alikuwa kivutio kwa mashabiki wa Yanga akiendelea kushangilia kwa mbwembwe kwelikweli.


1 COMMENTS:

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV