Crystal Palace imeadhibu Arsenal kwa kuichapa mabao 3-0 katika mechi ya Ligi Kuu England huku mshambulizi Wilfred Zaha akiwa mchezaji bora wa mechi.
Pamoja na kutofunga hata bao moja, Zaha raia wa Ivory Coast alitengeneza kwa kutoa pasi mbili zilizozaa mabao.
Baada ya mechi hiyo ambayo Arsenal walichelewa kufika uwanjani kutokana na foleni, mashabiki walianza kuimba na kupiga kelele wakitaka Kocha Arsene Wenger, aende zake.
0 COMMENTS:
Post a Comment