Mashabiki wa Simba waliojitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, jana.
Mashabiki hao walijitokeza wakati Simba ikiivaa Mbao FC katika mechi iliyoisha kwa ushindi wa mabao 3-2 walioupata Wekundu hao wa Msimbazi.
Simba ilikuwa nyuma kwa mabao 2-0 hadi dakika ya 82. Lakini mabao mawili ya Frederic Blagnon na Muzamiru Yassin aliyemaliza kazi katika dakika za nyongeza.
0 COMMENTS:
Post a Comment