April 28, 2017


Unaweza kusema watu hawataki mchezo na kazi zao kama unavyoona mpigapicha wa runinga zinazorusha mubashara mechi za Ligi Kuu England akisogeza kamera yake hadi usoni mwa kocha wa Manchester United, Jose Mourinho.


Hii ilikuwa katika Manchester Derby wakati Man City na Man United zilivyomaliza mechi kwa suluhu. 


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic