April 18, 2017
Leicester City imeaga michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Atletico Madrid.

Leicester ndiyo waliokuwa nyumbani na walilazimika kusawazisha kwa bao la Jammy Vardy ili kupata sare hiyo.


Kwa sare ya leo, maana yake Atletico Madrid imesonga mbele kwa jumla ya mabao 2-1 baada ya ushindi wa 1-0 ikiwa nyumbani Vicente Cardelon jijini Madrid.

KIKOSI CHA Leicester City:
Schmeichel, Simpson, Morgan (Amartey), Benalouane (Chilwell), Fuchs, Mahrez, Ndidi, Drinkwater, Albrighton, Okazaki (Ulloa), VardyKIKOSI CHA Atletico Madrid:
 Oblak, Juanfran (Hernandez), Savic, Godin, Filipe Luis (Correa), Saul, Gabi, Gimenez, Koke, Carrasco (Torres), Griezmann0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV