April 18, 2017


Baada ya kipigo cha mabao 4-0 kutoka kwa Juventus ya Italia, Barcelona wamefanya mazoezi yao ya mwisho kabla ya mechi yao ya pili, kesho.


Mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ndiyo itakayoamua nani anakwenda nusu fainali kati ya timu hizo mbili.

Ikiwa nyumbani, kawaida Barcelona inafanya mazoezi yake kwenye uwanja wake wa nyumbani katika iambi ya La Masia jijini Barcelona.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV