April 13, 2017


Mechi tatu zimechezwa za Ligi ya Mabingwa Ulaya, Dortmund wakiwa nyumbani, wamekubali kipigo cha mabao 3-2 kutoka kwa Monaco lakini Atletico Madrid, ikaitandika Leicester kwa bao 1-0.


Kipigo kingine kilichotembea katika ardhi ya Ujerumani ni Bayern Munich kufungwa mabao 2-1 na wageni wake Real Madrid. Lakini picha hii ya Marcelo akiwania mpira na Arjen Robben ni kati ya zilizovutia hasa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV