April 6, 2017


Diego Costa amesalimika lie hofu ya kwamba angeweza kufungiwa mechi kadhaa baada ya kumkanyaga kwa makusudi beki na nahodha wa Man City, Vincent Kompany.

Chelsea walikuwa na hofu kwamba Costa angekutana na adhabu baada ya kitendo chake hicho katika dakika ya 70 wakati Chelsea ilipoivaa Man City na kuitwanga kwa mabao 2-1.

Imeelezwa mwamuzi Mike Dean aliliona tukio hilo, hivyo halitaingizwa kwenye kujadiliwa kama tukio ambalo halikuonekana kwa mwamuzi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV