April 6, 2017


Siku moja baada ya Chelsea kuitwanga Man City kwa mabao 2-1 na kuendelea kujichimbia kileleni mea Ligi Kuu England, kiungo wake Cesc Fabregas amefanikiwa kupata mtoto wa kiume.

Fabregas amejaaliwa kupata mtoto wa kiume aliyempa jina la  Leonardo Fabregas Semaan mara tu baada ya mkewe kujifungua.

Leonardo anaungana na dada zake wawili, Lia na Capri kuunda familia ya watoto watatu wa kiungo huyo raia wa Hispania.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV